ID
stringlengths 34
34
| text
stringlengths 14
275
| label
stringclasses 3
values |
---|---|---|
ID_dfb02831_sentiment_ dev_swahili | picha mbunge wa kilombero peter lijualikali akitoka leo katika gereza la ukonga baada ya mahakama kuu kufuta hukumu | Wastani |
ID_ad1d9888_sentiment_ dev_swahili | swali zuri sana nawatafuta wajuzi wa mambo watuambie | Wastani |
ID_34eed91d_sentiment_ dev_swahili | pole sana kwa hilo ili uweze kuona mkeka wako wa nyuma unatakiwa kurudisha tarehe nyuma kwenye bet history yako ss | Wastani |
ID_362e20eb_sentiment_ dev_swahili | balozi zetu kama haziwezi ku initiate na diaspora wanaoishi huko nje za nchi na kuhakikisha wanaiba huko na kuja kujenga | Wastani |
ID_87300f4d_sentiment_ dev_swahili | je unaitaka waambie coke waweke jina lako | Wastani |
ID_6aba33a1_sentiment_ dev_swahili | muheshimiwa kwa majina naitwa rahma juma salumu mwanafunzi wa shule kuu ya uandishi wa habari udsmsjmc n | Wastani |
ID_b1a98cc1_sentiment_ dev_swahili | leo tena leo hii kwenye masimulizi ya juzi jana na leo anasikika msanii kenny kenie toka kwanza record forest | Wastani |
ID_ff196cf3_sentiment_ dev_swahili | aiseeee this is nonsense hivi ameongea baya gani mpaka mtu unaropokwa maneno yote hayo | Hasi |
ID_42d49e96_sentiment_ dev_swahili | hatuwezi kusemea benki zingine lakini benki yetu inafanya vizuri na tumeendelea kuandika faida kwenye vitabu vyetu vya fedha kuna jambo lingine tunaweza kukusadia | Chanya |
ID_903649ef_sentiment_ dev_swahili | hii ni kazi ngumu sana ndugu yangu uliyofanya ya kuwakutanisha watu mbalimbali katika kujadili jambo hil | Wastani |
ID_98b01772_sentiment_ dev_swahili | zaidi ya asilimia 60 ya chakula kinachozalishwa tanzania kinatoka nyanda za juu kusini saggot | Wastani |
ID_c06defcf_sentiment_ dev_swahili | takwimu zinaonesha kuwa duniani kote inakadiriwa watu milioni 850 wanasumbuliwa na magonjwa ya figo na kila mwaka watu milioni 24 hufariki kutokana na magonjwa haya | Hasi |
ID_11ca0ee2_sentiment_ dev_swahili | mko tayari nimlete hamza hapa kinaga ubaga ni story ya kusikitisha sana i cant hold it | Wastani |
ID_8a5354e4_sentiment_ dev_swahili | napenda kuwajulisha kuwa shemeji amependeza sana ila amekataa asipigwe picha | Wastani |
ID_2232dfe9_sentiment_ dev_swahili | habari ochu samahani kwa makosa ya kimaandishi yaliyotokea tumefanyia marekebisho tayari na utaweza kuona kwa usahihi asante ss | Wastani |
ID_7a7d6942_sentiment_ dev_swahili | tutafanyia kazi kubadili vifurushi hivyoka | Wastani |
ID_9ca777a9_sentiment_ dev_swahili | aisee bro life ni gumu sanaa kitaaa unaweza fikiria mambo yasiyofikirika yani acha tuombe mungu labda barak | Hasi |
ID_03c6c1de_sentiment_ dev_swahili | inategemea unatoa shilingi ngapisuzy | Chanya |
ID_077a3f27_sentiment_ dev_swahili | leo januari 20 2020 ndiyo mwisho wa zoezi la usajili wa laini kwa alama za vidole baada ya kuongezwa siku 20 na r | Chanya |
ID_209baeb5_sentiment_ dev_swahili | fanya km umechanganykiwa hvkm una majini hvafu ukishakaa sawaujikague afu useme pesa zangu mmeniibia | Wastani |
ID_468cabb6_sentiment_ dev_swahili | suprise ya kwenye harusi ya full video ipo tayari kwenye | Wastani |
ID_56c08038_sentiment_ dev_swahili | total afcon 2019 cairo taifa stars yachapwa 3 bila na algeria dakika 90 2019 | Wastani |
ID_12a54a13_sentiment_ dev_swahili | kwa jide imesound good kabiasa yaani | Chanya |
ID_897c9938_sentiment_ dev_swahili | muonekano wa ndani ya nyumba ni kitu muhimu sana pale unapotaka kujenga usimuumize kichwa wacheki ni wabob | Chanya |
ID_69e8a9fd_sentiment_ dev_swahili | mbona umetag mimi hao wadada hujawatag | Wastani |
ID_0c668778_sentiment_ dev_swahili | tafadhali fahamu kuwa utapata ofa hiyo baada ya kifurushi chako kuishasalim | Wastani |
ID_a7529b3b_sentiment_ dev_swahili | karibu ya kuanzia saa | Wastani |
ID_f6a88b28_sentiment_ dev_swahili | pole kwa usumbufu pesa yako imeshafanyiwa kazi jumatatu pesa itarejeshwa kwenye akaunti yakojj | Wastani |
ID_2e3a2e83_sentiment_ dev_swahili | kaduma habari karibu katika kurasa zetu tafadhali tembelea kwenye ofisi zetu kwa msaada zaidi | Wastani |
ID_3cd696c1_sentiment_ dev_swahili | nasi tunakupenda pia with us | Chanya |
ID_0f1c47a6_sentiment_ dev_swahili | tatizo ni vyote viwili lugha jumlisha ufundishaji mbovu mazingira duni a ukosefu wa nyenzo za kujifunzia elim | Hasi |
ID_d40628ba_sentiment_ dev_swahili | jamani kesho ni pale mkujeeeeeeeeeee its always and karibu | Wastani |
ID_e520d121_sentiment_ dev_swahili | siku kadhaa hapa nilikuwa na dili na ofisi za serikali hongereni kwakweli huduma ni nzuri mmepunguza kufanya kazi kwa mazoea | Wastani |
ID_a14e19c3_sentiment_ dev_swahili | habari asante kwa kutuandikia kupitia katika ukurasa wetu na pole sana kwa changamoto unayoipitia tafadhali fahamu kuwa | Wastani |
ID_3b2c5c61_sentiment_ dev_swahili | habari fika kilombero madukani kuna duka letuka | Chanya |
ID_1036a8b2_sentiment_ dev_swahili | leo januari 03 2020 makamu mwenyekiti wa kanda ya pwani mhe akiaga mwili wa bi verdiana mu | Hasi |
ID_f225a9a4_sentiment_ dev_swahili | ccm wanaogopa sanduku la kura balaa | Wastani |
ID_41dcf3c2_sentiment_ dev_swahili | mkandarasi anayesambaza umeme kibondo atakiwa kuongeza kasi | Wastani |
ID_863c4353_sentiment_ dev_swahili | habari karibu katika ukurasa wetu tukuhudumie | Wastani |
ID_30d29812_sentiment_ dev_swahili | lazima tu utakuwa na pesa nyingine pemben ya kubadilisha diet njeya hio1m pesaya kubadilisha mboga | Wastani |
ID_7ef055d7_sentiment_ dev_swahili | nashukuru sana mr togolani kitabu tayari kipo sokoni kwa bei ya sh 20000 kina idadi ya page 180 na kina idadi ya sura 8 kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili kwa mahitaji zaid ya kitabu tuwasiliane kwa njia ya whats app 0624613046 ht | Chanya |
ID_a83c6a0a_sentiment_ dev_swahili | umeshajaza hii survey tunakusanya taarifa za ujuzi na maarifa ya kidijitali kwenye nguvu kazi tafadhali shiriki | Wastani |
ID_dba25e4f_sentiment_ dev_swahili | usiache siku ipite bila kusoma ripoti ya haki za binadamu 2018 ripoti hii inapatikana kupitia tovuti yetu | Chanya |
ID_8f6a5df6_sentiment_ dev_swahili | corona huambukizwa kwa njia ya hewa kwa kuingiwa na majimaji yenye virusi kutoka mtu mmoja kwa njia ya kukohoa au kupig | Wastani |
ID_1fb429ab_sentiment_ dev_swahili | hata useme hello december kwa furaha kiasi gani madeni ya november hayakuachi | Wastani |
ID_2c7bd2ee_sentiment_ dev_swahili | kumbe tunaifukuzia china kwa wingitushafika bilioni toka milion 60mpk 1000 milioni tofauti hapo ni 940m tumepiga hatua kubwa | Chanya |
ID_26def408_sentiment_ dev_swahili | imar10max habari yakokaribu katika ukurasa wetu huu tukuhudumie kuhusiana na mtandao wetu wa tigo | Chanya |
ID_3639631f_sentiment_ dev_swahili | wanawake wenzangu huyu ndo rais tunapaswa kwenda naye na kumuunga mkono vifo vya wanawake vimepungua kutokana na jitiha | Chanya |
ID_3cab437a_sentiment_ dev_swahili | news transifoma lalipuka na kuwaka moto maeneo ya mgololo mkoani iringachanzo cha kulipuka hakijajulikana na | Hasi |
ID_27565b8a_sentiment_ dev_swahili | fahamu sababu hatarishi za saratani ya matiti | Wastani |
ID_23706ba5_sentiment_ dev_swahili | takribani wanawake 7 madereva wa magari ya mashindano nchini saudi arabia watapata nafasi ya kufanyiwa majaribio ya mashindano ya formula e baada ya nchi hiyo kupata nafasi ya kuandaa msimu mpya wa mashindano hayo mwezi ujao | Chanya |
ID_2806cff9_sentiment_ dev_swahili | picha na anerlisa wa ben pol zazua gumzo mitandaoni | Hasi |
ID_79aa265a_sentiment_ dev_swahili | ahsante kwa kutembelea ukurasa wetu | Chanya |
ID_2ae52fcd_sentiment_ dev_swahili | kuna brother etu alitajiwa mazaga huko kaskazini mashariki hadi baadhi ya ndugu wa mke wakainuka kumtetea mmeona sab | Hasi |
ID_bd9d751e_sentiment_ dev_swahili | nilipomuona mwenye zamu ya kununua umeme jana anarudi na mshumaa nikazima data kabisaaaa | Wastani |
ID_42a0c83d_sentiment_ dev_swahili | inahitaji busara kusahauna hekma vinaweza kutokea vitu vikapelekea ukakumbuka jambo lililopita maumivu yakanza tena | Wastani |
ID_6392b2d9_sentiment_ dev_swahili | nchi ya tanzania na afrika kusini ni washirika wakubwa wa uchumi na maendeleo | Chanya |
ID_7549af8d_sentiment_ dev_swahili | baadhi ya wakulima wa korosho tatizo hili la uchanganyaji wa mchanga na korosho kwa kweli linatuathiri sana sisi wakulima linatengeneza mazingira ya ukosefu wa masoko ya mazao yetu | Wastani |
ID_eb6b8ab1_sentiment_ dev_swahili | binti akikosea haina budi kumsamehe na kumpa nafasi ya pilihii itaongeza chachu ya kusoma kwa bidii ili kusa | Chanya |
ID_ae290523_sentiment_ dev_swahili | huu mpira huu sijui huwa anapata furaha kwenye timu ipi huku kule | Hasi |
ID_aee88ed2_sentiment_ dev_swahili | napenda nichukue fursa kumshukuru mungu na kukushukuru wewe pia kwa kuweza kupata nafasi ya kupromote kitabu uzinduzi ulikuwa mzuri wa kitabu katika chuo kikuu cha waislam morogoro naomba tuwasiliane kwa namba whats app no 0624613046 i | Chanya |
ID_303cf41c_sentiment_ dev_swahili | je wajua kama mtoto anaumwa mama anaanza kuzalisha maziwa yenye antibodies ili kumtibu mtoto | Wastani |
ID_0c7f40bf_sentiment_ dev_swahili | yuko rumande miaka 2 bila ya uchunguzi kukamilika na lazim apewe rukhsa kuleta maombi mahakamani awe huru bora uwe mfung | Hasi |
ID_be7f829b_sentiment_ dev_swahili | sasa unaweza kupakua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa sera ya kupitia na | Chanya |
ID_7fb26199_sentiment_ dev_swahili | orest ngowi msanii wa bongo flava ruby amefunguka kuhusu kufa | Wastani |
ID_948d4ba3_sentiment_ dev_swahili | habari tafadhali tuandikie namba yako ya simu kwa msaadasalim | Chanya |
ID_ab2e360a_sentiment_ dev_swahili | wazo la kuwa na siku ya wanawake kimataifa lilitolewa na mwanamama aitwaye clara zetkin katika kongamano la kimataifa la | Wastani |
ID_19944c9e_sentiment_ dev_swahili | akizunguma katika ziara hiyo amesema arusha ni miongoni mwa mikoa iliyofanya vizuri katika utoaji wa chanjo ukizingatia j | Chanya |
ID_a47497c8_sentiment_ dev_swahili | je ni kweli wanawake wengi hawagombei vijijini kwa sababu hawana uchungu na changamoto mbalimbali zinazowakabili | Wastani |
ID_c48e252e_sentiment_ dev_swahili | dktkalemani aridhishwa na kazi ya upelekaji wa miundombinu ya umeme stieglers gorge waziri wa nishati dkt | Chanya |
ID_a87d6d65_sentiment_ dev_swahili | asante kwa kutumia huduma zetu tunathamini uwepo wako pamoja nasi live itlove it | Chanya |
ID_558de1b5_sentiment_ dev_swahili | hii ndio official ac ya kijana wenu huko insta karibuni sana ni wahudumie | Chanya |
ID_8873feab_sentiment_ dev_swahili | niliwahi kusema hivi kwenye msg kwa jamaa mmoja hivi maarufu alikuwa anasumbua sana na michango hatimae urafiki wetu | Hasi |
ID_e4aa5b69_sentiment_ dev_swahili | mfanyabiashara kuwepo bonanzani ni gharama piaunategemea bei iwe sawacost za bandausafiriwafanyakazi unazirudisha vipi | Wastani |
ID_b8126b0b_sentiment_ dev_swahili | tunaomba ridhaa yako ututumie picha yako dm tuweze kukupost kwenye ukurasa wetu endlea kuweka vocha mara nyingi zaidi uweze kuingia kwenye promosheni ya jero yako ushinde zawadi kama kirikuu bodaboda simu baiskeli na pesa taslimu wajulis | Wastani |
ID_6555df07_sentiment_ dev_swahili | piga kazi au upigwe kazi ni wewe tuuu | Chanya |
ID_a0c358bb_sentiment_ dev_swahili | sure nbc watajiongeza kuweka pos zao kwenye viwanja ili tuweze kulipa na kadi za visamaster milangoni | Wastani |
ID_996bf519_sentiment_ dev_swahili | tukutane leo kwenye the sanuka na chapo space mada mauzo ya muziki kidijitali yamesaidia kukua kwa muziki wa afrika mashar | Wastani |
ID_d8f96e04_sentiment_ dev_swahili | haya mc naomba uwalete fans dondosha handle yako retweet na likeucsahau kufollow back | Wastani |
ID_b48c4a04_sentiment_ dev_swahili | muonekano wa barabara ya bwanga biharamulo km 68 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika barabara hiyo inau | Chanya |
ID_d31a7c73_sentiment_ dev_swahili | waziri mkuu mh amewataka mawaziri na naibu mawaziri kujiepusha na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko serikalini | Wastani |
ID_2efc9515_sentiment_ dev_swahili | kuna siku nilikutana na wewe somewhere niko mzigoni ukanipa faraja pole na kazi kuna kitu ndani yako insaallah | Chanya |
ID_84f3b4cc_sentiment_ dev_swahili | kwa mujibu wa sheria ya nchi wachezaji wa kigeni ni lazima walipe kodi | Wastani |
ID_889bdea0_sentiment_ dev_swahili | tuhamasike kupinga rushwa ya ngono vyuoni na mahala pa kazi ili kuwa na kwa maendeleo | Chanya |
ID_596aa2c2_sentiment_ dev_swahili | fumbo lingine ni mafanikio ujui utafakiwa ln but unakomaa unasemaipo cku na mm ntatoboaln ss | Wastani |
ID_ade0d0e7_sentiment_ dev_swahili | habari tutawatangazia mahali pa kupata tshirt | Wastani |
ID_c028aa05_sentiment_ dev_swahili | kama sheria za madini zinazokinzana zikipatikana na kuwasilishwa kwa kupitia jukwaa la kwa itasaidia | Wastani |
ID_f319d733_sentiment_ dev_swahili | bro jamaa aliye kuazima suti amesema utoke juani suti yake itapauka | Wastani |
ID_e3e1dcc2_sentiment_ dev_swahili | machozi jasho na damu | Hasi |
ID_6dbb0469_sentiment_ dev_swahili | watu wa arusha unaweza ukawakuta kwenye normal convo tu ukahisi wanagombanau guys mna hasira mda wote | Wastani |
ID_ec6e57eb_sentiment_ dev_swahili | kwa mkopo wa wafanyakazi ni baada ya siku moja iwapo umekamilisha taratibu zote na mkopo wa wafanyabiashara ni ndani ya wiki mbilinasra | Chanya |
ID_e0044cf5_sentiment_ dev_swahili | safari ya kwenda england | Wastani |
ID_88caaeb7_sentiment_ dev_swahili | black taafadhali tunaomba namba yako ya simu na tarehe husika kwa ajili ya taarifa zaidi | Chanya |
ID_c97970ab_sentiment_ dev_swahili | kama kawaida nitakua nafanya ya mechi ya taifa stars vs algeria | Chanya |
ID_c237aa0b_sentiment_ dev_swahili | siku moja utajishukuru kwa kutokukata tamaa | Wastani |
ID_d6d011d3_sentiment_ dev_swahili | ile royal tour hata haijatoka tushapata wawekezaji wakujenga hotel tatu za kitalii kupitia yenyeweikitoka mbonachato kwa treni | Wastani |
ID_1b8baa98_sentiment_ dev_swahili | vibubu vipo dukani 10000 whatsapp 076672727 join our whatsapp group for more tuko mwenge | Wastani |
ID_b8b0c3ff_sentiment_ dev_swahili | watoto huleta furaha nyumbani endeleza furaha yako kwa kuwapa wanao kile wakipendacho kwani kupitia kifurushi cha bomba 19000 mwanao atafurahia chaneli za watoto ikiwemo katuni mickey and the roadster racers leo saa 10 jioni ndani ya chaneli disney junior 309 | Chanya |
ID_810d6d48_sentiment_ dev_swahili | katika mahojiano maalum na uhuru daktari kutoka taasisi ya daktari mkononi happyness biyengo alisema mtoto anaponyonyeshwa kwa kipindi cha miezi sita mfululizo huepushwa na magonjwa nyemelezi | Chanya |
ID_d82498d4_sentiment_ dev_swahili | katika historia ya bunge leo kwa mara ya kwanza bajeti yenye 90 inaenda kwenye miradi ya maendeleo inawasilishwa stay tuned | Wastani |